Thursday, June 7, 2012

SHOW zilizovunja record NewMaishaCLUB 2012Club Maisha Dar es salaam imetangaza show tatu zilizovunja rekodi ya kuingiza watu wengi zaidi kuliko nyingine mwaka huu.

Huu ukiwa ni mwezi wa sita, show iliyoshika nafasi ya kwanza ni ya Mwimbaji Diamond Platnums wakati wa birthday yake ambayo imeishinda showaliyomvisha pete ya uchumba Wema Sepetu.

Show ya Birthday ya Diamond iliingiza zaidi ya watu elfu mbili mwanzoni mwa mwaka huu, show iliyoshika nafasi ya pili ni show iliyowapambanisha kwenye stage Dogo Janja, Dogo Aslay na Young D, Show ya tatu ni ya WEUSI, kundi linaloundwa na Joh Makini, Lord Eyes, G Nako, Nikki wa Pili, Bonta na wengine ambapo iliingiza zaidi ya watu elfu mbili.WEUSI


 DIAMOND PLATINUMZ


DOGO JANJA, YOUNG D NA DOGO ASLEY


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...