Sunday, July 15, 2012

Kuishi maisha ya Imani, Katika Ulimwengu Usioamini!


Kuishi maisha ya imani maana yake ni kuwa kwa kipindi chote cha maisha yetu hapa duniani, kwa kipindi chote cha uhai wetu, na kwa namna yoyote ile inayoashiria maisha kama kuongea kwetu, kutenda kwetu, kuwaza kwetu, kuenenda kwetu, kuvaa kwetu, kula kwetu, kuona kwetu, kukiri kwetu, kutoa na kupokea kwetu, kufanya kazi kwetu, lupigana kwetu, kushinda kwetu, kuomba kwetu na hata namna yote ile ya kuwajibika kwetu kwa watu wengine tunayafanya haya yote kwa imani.

Tunayafanya haya yote kwa uhakika kabisa, kwa kutokuwa na mashaka wala hofu, tunayafanya kama vile tumejua mwisho wake hata kama hatujayaona kwa macho yetu bado. Kama kuna mambo tunatarajia katika kuishi kwetu, basi kuishi kwa imani katika hayo tunayoyatarajia ni kuishi tukiwa na uhakika na udhihirisho ya kuwa hayo mambo yatatokea na kufanyika halisi maishani mwetu bila kujali changamoto zitokanazo na imani yetu katika mambo hayo.

Katika tafsiri ya kitabu cha Waebrania 11:1Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayoni bayana ya mambo yasiyoonekana”. Kwa lugha nyingine naweza kusema, imani ni udhihirisho wa mambo ninayoyatarajia kuyapata, mambo ninayotumaini kuyapata, mambo ninayotamani na kuwa na shauku nayo katika maisha yangu. Kwa hiyo naishi kwa namna inayodhihirisha na kuthibitisha kabisa kuwa kuna mambo ninayoyangojea hapo mbele.

Kama imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, hii inamaanisha kuwa ni muhimu sana kuyajua hayo mambo yatarajiwayo ni mambo gani kwasababu siwezi kuwa na imani na kitu nisichokijua. Kwa mfano, siwezi kuwa na imani kama Yesu Kristo atarudi tena wakati simjui Yesu mwenyewe wala jambo lolote kuhusu yeye, siwezi kusema nina imani Yesu ataniponya wakati hata sijawahi kusikia habari za Yesu na kwamba yeye ana uwezo wa kuponya. Hivyo ni lazima niwe nimesikia habari za jambo Fulani, ni lazima niwe nimeyajua hayo mambo ninayoyatarajia ili niseme sasa nina imani nayo kwamba yatatokea kwangu.

Ninachosema hapa ni hiki, kwa sababu imani chanzo chake ni kusikia, ni muhimu sana kujua unasikia juu ya nini. Kila mtu hujenga imani ya kile anachokisikia na zaidi sana kile achokifahamu na kukijua. Ukisikia sana habari za waganga basi utajenga imani yako kwa waganga lakini kitu cha kujua hapa ni kuwa kama wewe ni raia wa ufalme wa Mungu basi ni lazima imani yako iwe katika mambo yatokanayo na ufalme huo.

Neno la Kristo ndio msingi wa kujenga imani ya kweli kwa kila aaminiye kwa moyo wake na kukiri kwa kinywa chake kwamba Yesu ni Bwana. Kwa hiyo kama nimeamua kuishi maisha ya imani ndani ya Yesu, ni lazima nizidi kumsikia sana Yesu ili nizidi sana kujenga imani yangu kwake kwenye mambo ninayotarajia.

Kabla sijajua kuwa Yesu ni mwokozi nilimdharau na kuwakejeli wote walionambia habari zake, kwa hiyo nisingeweza kuishi maisha ya imani wakati huo.

Nilipomjua Yesu ni nani, kwa kusikia, nikajenga imani yangu na kuanza kutarajia mambo kadha wa kadha yaliyondani yake yeye. Kwa hiyo hakika ya mambo yatarajiwayo inakuja kwa kuzidi sana kuongeza ufahamu katika kuyajua hayo mambo yaliyofungwa ndani yake yeye ninayemwamini.

Mambo yatarajiwayo, kwa tafsiri niliyoiweka hapo juu, inamaanisha mambo ninayotumainia ndani ya imani yangu katika Kristo na haya mambo ni kama:

  • Uzima

  • Uponyaji

  • Baraka za mwilini na za rohoni

  • Mafanikio na maendeleo

  • Maisha ya ushindi

  • Ulinzi

  • Uzima wa milele

  • Masomo

  • Chakula

  • Mavazi

  • Nguvu

Kwa kuchukua mfano mmoja hapo juu, mimi nimeokoka ingawa nimekuwa naishi maisha ya hali ya chini kiasi kwamba hata mahitaji ya msingi kama chakula, mavazi na hata mahali pa kulala sina, kuishi maisha ya imani katika hali hii ni kuwa na hakika juu ya hayo mambo ninayoyahitaji kuwa nitayapata kutegemeana na imani yangu katika yeye ninayeamini, yaani Kristo, kuwa anaweza kunipa hayo yote sawa sawa nay ale ninayoyafahamu na kuyajua, yale niliyoyasikia amesema kuwa atanifanyia.

Ingawa mwili wangu utaonekana kuchakaa lakini imani yangu inanipa nguvu na tumanini kwani ninajua kabisa kuwa ipo siku Yule ninayemwamini atayabadilisha maisha yangu kwa kadri ya imani yangu, kwa kadri ya nguvu itendayo kazi ndani yangu na zaidi sana kwa kadri ya utajiri wa utukufu wake.

Kwa upande mwingine, kuna mambo yasioonekana ambayo nayo tunatakiwa tuishi kana kwamba tumeyaona na hapa Neno la Mungu linasema, Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Neno bayana ni sawa na kusema halisia, imani ni uhalisia, waziwazi au inayooneka kabisa kwa macho ya nyama na damu. Umesubiria mtoto kwa muda mrefu, imani inakupa nguvu na tumaini la kuendelea kuishi maisha yako kila siku kama mama aliyepata mtoto tayari. Bayana.

Halisia. Inayoonekana. Kama kuna jambo lolote lile ninalolingojea na bado sijaliona, ninatakiwa niwe nalingojea kama vile nimeshaliona kama vile Babu Ibrahimu, habari zake zinasema alitarajia yasiyoweza kutarajia, alitarajia mambo yasiyoonekana kana kwamba yameonekana, alimtarajia Isaka wakati hali yake na ya Bibi Sara haikuwa na uwezo wa kuwapa motto.Lakini yeye alisubiri katika kutarajia kwake mambo yasiyoweza kutarajiwa kabisa. Nguvu ya imani yake aliipata kwa kumjua anayemwamini.

“Mjue sana Mungu, ili uwe na amani na ndivyo mema yatakavokujia”, ndivyo utakavyozidi kupata ushindi maishani mwako, ndivyo utakavyozidi kushinda vita na makwazo ya duniani hapa na ndivyo utakavyozidi kuishi maisha yenye utulivu na usalama kwa maana unamjua yeye akupaye nguvu za hata kupata utajiri.

Kwa hiyo kuishi maisha ya imani ni katika hali zote kwa maana pasipo hiyo imani haiwezekani kabisa kumpendeza Mungu kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima, sio ombi, lazima aamini (awe na hakika wa mambo anayotarajia toka kwake) kwamba yeye Mungu yuko na zaidi ya hayo huwapa thawabu, huwapa Baraka, huwapa mambo mema, huwapa mafanikio, huwapa hazina njema wale wote wanaomtafuta. Katika hali zote, kufanikiwa au kutokufanikiwa, kupata au kukosa, raha au mateso.

Imani inahitajika na hivyo wakati wa Furaha wewe furahi kwa imani na wakati wa majaribu ya imani yako usiseme hii sio imani kwani ni vema

kuhesabu ya kuwa ni Furaha tupu tunapoingia katika majaribu mbali mbali tukijua kuwa kujaribiwa kwa imani yetu huleta saburi maishani mwetu. Kwa hiyo neno imani lina maneno matano ambayo ni:

  1. Hakika-kutokuwa na shaka wala hafu, thabiti

  2. Mambo-ahadi za Mungu unazozijua kama Neno lake linavyosema

  3. Yatarajiwayo-tumaini la kungojea na kusubiri

  4. Bayana-halisia, inayoonekana

  5. Yasiyoonekana-kwa macho ya nyama na damu

Kwa hiyo, ninapomalizia ukurasa huu, napenda kusema kuwa kuishi maisha ya imani ni kuishi maisha tegemezi katika kile anachokisema Mungu. Ni kuishi maisha ya mtu wa haki, mwenye haki anaishi kwa imani, anaishi kwa kuwa na ujasiri na uhakika wa mambo yote anayoyatarajia hata kama hajayaona kwa macho yake. Tunawaza kwa imani, tunaongea kwa imani, tunakula kwa imani, tunatembea kwa imani, tunafanya kazi kwa imani, tunaomba kwa imani, tunaangaliakwa imani, tunaenenda kwa imani na kwa ujumla wake yote tunayoyafanya iwe ni kwa neno au kwa tendo tunayafanya yote kwa imani katika jina la Yesu tukizidi sana kumshukuru Mungu Baba.

Kwa maana tunajua ya kuwa pasipo imani, haiwezekani kumpendeza Mungu kwani sisi kama wenye haki imetupasa kuishi kwa imani. Kuna uhusiano kati ya kuwa mwenye haki na kuishi maisha ya imani. Haiwezekani mtu akaishi kwa imani bila kuhesabiwa haki katika Yesu Kristo aliye mwanzilishi wa imani yetu. Na huu uhusiano ndio tutakao uchambua na kujifunza juu ya kwa nini mwenye haki aishi kwa imani. Umebarikiwa katika jina la Yesu Kristo!

–Sehemu ya kitabu cha Mtumishi wa Mungu, Mwinjilisti Raphael Joachim Lyela

Mawasiliano zaidi kuhusu kitabu chake wasiliana nae
Email: annointedkaka@yahoo.com
Simu: 0787 110 003

Saturday, July 14, 2012

BreakingNews: DMX Hospitalized After Accident



It seems like DMX’s ATV ryde this morning might’ve been a little too ruff. X ended up in a hospital bed after his quad flipped over while going down a hill near his South Carolina home. DMX is currently being treated for a concussion.
He tells TMZ that he doesn’t know when he will get out and that he doesn’t remember anything besides the ambulance lights.

MUFASSSSSSSSAAAH

                   

Friday, July 13, 2012

Artwork: Tyga – Well Done 3



tyga-well-done-3


YMCMB artist Tyga just dropped the artwork to his latest mixtape ‘Well Done 3′. This is after the Well done 2 with hits like Rack city...
Release date coming soon. Stay tuned.

MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI (HABAKUKI 2:4





Mimi ni mtumishi wa Mungu namtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji nina albam 3 na ni mhubiri wa neno la Mungu sehemu mbalimbali.Pia ni dakitari katika hospitali ya KCMC Moshi na ninafundisha chuo cha kutengeneza viungo sanifu viungo bandia vya wanadamu hapa KCMC.
Napenda kukukaribisha rafiki uliyeamua kusoma makala haya nina hakika Mungu atasema na moyo wako na utauona utukufu wa Bwana.
Imani ni nguvu inayoishi,kama tunavyosoma katika (Ebrania 11:1) imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana.Rafiki yangu katika maisha ya mtu aliyeokoka swala la imani ni la msingi sana.Imani yetu inatoka kwa Mugu na Mungu tunamuelewa kwa kulisoma neno lake, hivyo imani yetu ikichaganyika na neno la Mungu inakuwa na uwezo wa kuzalisha nguvu.(Ebrania 4:2) lakini neno lile lililosikiwa halikuwafaa hao,kwa sababu halikuchanganyika na imani ndani yao waliosikia.Hapa tunoona ni jambo moja kuwa na neno na ni jambo lingine kuchanganya neno na imani.Watu wengi wameshika sana neno ila matokeo ya utendaji kazi wa neno hayaonekani kwa sababu nguvu ya kuamini lile neno haipo .Mazingira yanakuwa na nguvu kuliko Mungu anachokisema juu ya mazingira na hili limesababisha watoto wengi wa Mungu kuwa waitaji na kuendelea kuonewa na shetani.
Biblia inasema pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu (Waebrania 11:6).Unaweza ukajitahidi kutenda kama Mungu anavyotaka ila kama hauna imani bado haujampendeza Mungu.Kama nilivyosema mwanzoni mwenye haki wa Mungu ataishi kwa imani inamaanisha bila imani huwezi kushinda changamoto za duniani.Katika makala mengine nitazungumza juu ya viwango mbalimbali vya imani usikose makala hiyo rafiki.Imani tuliyonayo ndiyo inayofanya jambo litokee naye heri aliyesadiki;kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na bwana (luka 1:45).Najua rafiki yangu bwana amesema na wewe mambo mengi sana juu ya maisha yako na huduma yako,unachopaswa kufanya ni kuendelea kusadiki ili umpe njia ya kutimiza alichokiahidi kwako.Ngoja nikupe ushuda huu wangu binafsi ili uendelee kumwamini Mungu
Mimi nilikutana na changamoto kubwa nilipomaliza kidato cha sita.Kidato cha nne nilifaulu vizuri sana nilipata daraja la kwanza (div 1.11) nikafaulu kwenda shule ya vipaji maalumu Kilakala secondary masomo ya physics,chemistry na biology.Nilijaliwa akili sana ila nilipoanza kidato cha tano niliuguwa sana hadi kupelekea matokeo yangu ya kidato cha sita kuwa mabaya . Nilipata daraja la tatu na nililia sana nikijua ndoto zangu za kwenda chuo kikuu zimekufa,ila kwa sababu nilikuwa mwombaji na mcha Mungu niliamua kutumia ulimwengu wa imani wa kuyataja yasiyokuwepo kana kwamba yamekuwapo na Mungu akasema na mimi kuwa yeye ndiye awapae watu vyuo vikuu na hatimaye nilipata chuo kikuu cha private na serikali ikajitolea kulipa ada yangu kwa miaka yote ya masomo na leo ni mwalimu wa madactari hapa kcmc hospitali.Na Mungu kanipa kazi nzuri nikiwa na umri mdogo sana. Huyo ndiye Mungu ninayemsema na isitoshe kanipa karama ya kuimba na hadi sasa nina albam 3. Nina shuhuda nyingi za kukujenga msomaji wangu kadri Roho atakavyokuwa ananiongoza nitakuwa nakupa pia kwa sababu shuhuda zinajenga sana.
UTAJUAJE IMANI INAFANYA KAZI?
MATENDO YAKO
Yakobo 2:18 lakini mtu akisema, wewe unayo imani ,nami ninayo matendo.Nionyeshe imani yako pasipo matendo,nami nitakuonyesha imani yangu kwa njia ya matendo.Mstari wa 26 maana kama vile mwili pasipo roho umekufa,hivyohivyo na imani pasipo matendo imekufa.Imani sio maneno matupu ni kile unachokifanya baada ya kukutana na changamoto fulani.Rafiki jitahidi kadri uwezavyo uweke imani yako kwa matendo.Namwomba Roho mtakatifu afungue ufahamu wako na kila roho inayokuzuiya ikuachie kwa jina la Yesu.
Tukimwangalia Abrahimu baba yetu wa imani alikuwa mtu wa kuweka imani kwa matendo,kila Mungu alichomwamuru afanye alifanya.Mwanzo 12:1 Bwana akamwambia Abrahamu,Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako,uende mpaka nchi nitakayokuonyesha.Hapa tunaona Abrahamu alikuwa na imani akaondoka,pia bwana alimwambia mwanzo22:2 Akasema umchukue mwanao,mwana wako wa pekee,umpendae Isaka,ukaende zako mpaka nchi ya Moria,ukamtoe sadaka ya kuteketezwahuko juuya mlima mmojawapo nitakaokwambia.Tunaona Abarahamu alifanya kama bwana alivyomwambia na akahesabiwa kama baba wa imani.Mungu anapima matendo yako kuidhibitisha imani yako na matendo yako yanaweza kukana ua kukubaliana na imani.Matendo yako yakiwa kinyume yanakukana mbele za Mungu.Kama nilivyosema imani ina uhakika na uhakika unaonekana kwenye matendo yako
Nataka ufahamu kwamba vitu vyote vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu dhahiri (Ebrania11:3) Mungu alitumia imani kuumba ulimwengu. Na sisi ni miungu lazima tutumie imani kwa matendo kuumba vitu tunavyoviitaji maishani.Rafiki nakutia moyo endelea kuchochea karama yako ya imani siku hadi siku ili umpendeze Mungu na atajibu mahitaji yako.Wewe ni mtu wa thamani na Mungu anatanani ufanane na yeye iliuwe balozi mwema wa Kristo. Nakupenda sana, tutaendelea na makala haya katika kipindi kijacho na somo letu la imani.Kama unahitaji msaada zaidi wasiliana nami kwa njia hizi.

HOLLYWOOD ACTOR @ MLIMANI CITY'S CINEMAX




Wakazi wa Dar es Salaam watanufaika na ujio wa muigizaji na muongozaji wa filamu wa Hollywood Mario Van Peebles aliyealikwa mwaka huu kama mgeni wa heshima kwenye tamasha la filamu la kimataifa Zanzibar, ZIFF.
Van Peebles ataizindua filamu yake ya mwaka huu iitwayo ‘We The Party’ ambayo ameiongoza na kuigiza pia.
Kwa ushirikiano na ZIFF, kutafanyika ‘red carpet premier’ ya filamu ya ‘We the Party’ kwenye ukumbi wa Century Cinemax cinema wa Mlimani City.
Tukio hilo litahudhuriwa na yeye mwenyewe Mario Van Peebles na mwanae wa kiume Mandela Van Peebles aliyeigiza kama mhusika mkuu kwenye filamu hiyo.
Filamu hiyo itaoneshwa kwa siku tano mfululizo ili kutoa muda zaidi kwa watu kuiona.
We The Party iliyoigizwa jijini Los Angeles inahusisha marafiki watano wanafunzi wa high school wanaozungukwa na mapenzi, pesa, kujirusha, chuo, sex, bullies, Facebook na mambo mengine.
Rapper Snoop Dogg anaye ameigiza kwenye filamu hiyo.

ROGER DAT???

Hot In Cinemas this week[inBONGO]

Spiderman is back again in 3D dont miss this esp if liked Spiderman2..this is EPIC
Ice Age in 3D is a MustWatch if u are a fan of Animation
Madagascar is cool, Honestly Chris Rock (Voice) made me watch..u shud 2, the movie is nice



MMG Signs Rockie Fresh

ROZZEY SIGNING ROCKIE FRESH TO HIS MMG ...
Rick Ross headed west alright. The mid-west. Amongst speculations that Ross would head west and sign Nipsey Hussle and Dom Kennedy, Ross surprises us and signs Chicago’s Rockie Fresh. Congrats to Rockie Fresh and MMG.

Meek Mill Argues With Pastor Over “Amen”





Meek Mill called into Philadelphia radio station Hot 107.9 and argued with Philly Pastor Jomo K. Johnson about the song “Amen”.
“Lord forgive me for my sins, I’m just tryna win”
The Pastor was not happy with Meek’s blasphemy and Meek got very heated over the discussion. Meek Mill accused the Pastor of wanting attention over the whole issue and continued to explain all the charity work he has done.
“I done took 20/30 drug dealers off the street”
The Pastor also criticised Meek for promoting rape in a song. Possibly a reference to Meek’s verse on NORE’s Scared Money.
“If I ever go broke, I’mma take yo money, Have my nigga snatch yo bitch and rape yo honey!”

Meek-Mill-Dreamchasers-2
Meek Mill Ft Drake & Jeremih – Amen. Lyrics included below.
“Worrying ’bout your followers, you need to get your dollars up, Me and Meek, young niggas poppin’ like our collars up”
Meek Mill drops his collaboration with Drake and Jeremih off his Dreamchaser’s 2 Mixtape. Props Dj Drama.
Read the full Meek Mill “Amen” Lyrics after the jump.

 Meek Mill – Amen Lyrics

[Meek Mill]
I just wanna thank God
For all the pretty women he let into my life
All the Benjamins he let me count
Wealth and health, for my family
And lettin’ me BALL on these niggas
[Hook: Meek Mill]
Now it’s a lot of bad bitches in the building (Ooh, Amen)
A couple real niggas in the building (Amen)
I’m finna kill niggas in the building (Amen)
I tell the waiter fifty bottles and she tell me say when
And I say church (Preach)
We make it light up like a church (Preach)
She wanna fuck and I say church (Preach)
Do Liv on Sunday like a church (Ahh, Preach)
[Verse 1: Meek Mill]
Bottle after bottle, drink until I overdose
Pull up in the Phantom watch them bitches catch the holy ghost
Everytime I step up in the dealer I be goin’ broke
Shorty wanna fuck me I say get on top and rollercoast
And I lay back, she go cray
Fuck me good, but she no stay
Murder on that pussy let her boyfriend get that DOA
Get it? And all I get is Frito Lay
Plus I’m on probation, when they test me I just pee Rozay
Cause last night, I went hard, Peach Ciroc, Patron and all
Thirty racks on Magnum bottles, I think I was born to ball
Lookin’ like a million plus, fresh I’m out that corner store
Hater I be doin’ me, you guys should be doin’ y’all
I’m stackin’ money to the ceiling
All this ice that’s in my Rollie I be chillin’
And I just made a couple million
So I could take care of them children
[Hook]
[Verse 2: Drake]
Just bought my niggas some cane, so much it came with a plane
Bought my niggas some dope, so much it came with a boat
I just bought me a crib so big it came with a moat
For niggas jumpin’ the fence I hope you niggas can float
And I just hope that I’m forgiven for carin’ ’bout how they livin’
And loanin’ a little money and keepin’ ‘em out of prison
I ain’t lyin’ in my verses I’m just telling you the basics
Of growin’ up with your friends and becoming the one that made it, Yes lord!
All gold, man I got these bitches soul
Talkin’ bout these other rappers getting old is even getting old
Worry ’bout your followers, you need to get your dollars up
Me and Meek, young niggas poppin’ like our collars up
And good ain’t good enough, and your hood ain’t hood enough
Spend my whole life putting on, you spend your whole life putting up
Ain’t no telling when I go, so there ain’t shit that I’mma wait for
I’m the type to say a prayer, then go get what I just prayed for
Nigga, church
[Hook]
[Verse 3: Meek Mill]
Lord forgive me for my sins, I’m just tryna win
And she a devil in that dress but if she knock I let her in
And if she knock I let her in
I had her up by 12 o clock, then 3 o clock she wet again
I’m screamin’ “Oh Lord”
That pussy good, that pussy good
I’m tryin to hold on
I wish I could, you think I should?
She got that million dollar body
Shawty my Bugatti
And she said she got a man
we keep it secret illuminati
(Got Patron On deck)
And Ciroc all in my bottle
(Push it all on here)
She was on that Repressitol
(She take it all off)
And I take her off
And this bitch spinnin’ like I hit the lotto
[Chorus]

Thursday, July 12, 2012

Wiz Khalifa ft 50 Cent – Telescope [NEW SONG]. Lyrics included

wiz-khalifa



In Wiz Khalifa's verse, I found 1 of the PUNCHLINE so dope:
“I’m all about that money, Dress like everyday sunny, Rolling weed like a Marley, Smile like everything funny”
New single from Wiz featuring Fiddy. Produced by Harry Fraud.
Read the full Wiz Khalifa “Telescope” Lyrics after the jump.

Wiz Khalifa – Telescope Lyrics

[Intro - WIz Khalifa]
See that’s the good thing about my hair man
All I do is put water in that shit so I pull a joint out and it don’t be all greasy and oily
Turn up
[Verse 1: Wiz Khalifa]
Your flow a dime a dozen
My flow you gotta love it
My city hot as fuck and
Came from the bottom of it
But not a product of it
Bitch all my rides are custom
Smoking my ganja public
I’m all about that money
Dress like everyday sunny
Rolling weed like a Marley
Smile like everything funny
But this industry shady
Most these niggas are crazy
Most of them quick to lose they soul, no if or a maybe
These nudies what I’m wearing
The truth is what you’re hearing
The bong is what I’m clearing
The kush is overbearing
Ferrari’s what I’m steering
I’m smoking while I’m driving
Keep looking in the mirror
Make sure no ones behind us
Cause niggas get jealous when your bank start to swell up
So much that people at the bank start to tell us
You need to have somebody bank for you fellas
[Hook: Wiz Khalifa]
Look at me (look at me, look at me)
Look at me (look at me, look at me)
Look at me (look at me, look at me)
Look at them and look at me
Look at me (look at me, look at me)
Look at me (look at me, look at me)
Look at me (look at me, look at me)
Look at them and look at me
[Verse 2: 50 Cent]
I paint a perfect picture, a perfect portrait
Poverty, robbery kill or be killed psychology
I shine just me and my nine
Screw you niggas 8 o clock sharp like this Columbine
Guess I’m one of a kind
I see you niggas soft when a shell hit your face
I hit your weight, that flip your coffin
Bitch get to walkin’, this sabrina’s orphan
I’m like the virus, the 38, the pop cyrus
Warriors I’m victorious
Come out to play, I mean right away
Shirt Ferrogamo, Emporio Armani drawers
Outlaw nigga break all kind of laws
It’s hard bottom line
Tie money, frozen time
AP Royal Oak
Kush smoke bag the coke
Push the dope, cut throat, so what
I cut throat and fuck with hoes
So I ain’t gotta say it’s time to go
She already know for sure when it’s time to go
[Hook: Wiz Khalifa]

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...